Swali: Kikomo cha chini kabisa cha kufanya utulivu katika Rukuu´ na Sujuud ni kile kiwango cha kuleta Tasbiyh moja?
Jibu: Akifanya utulivu na akaleta Tasbiyh moja inatosheleza. Sunnah ni kuleta Tasbiyh zisizopungua tatu. Wajibu ni kuleta Tasbiyh moja. Utulivu ni nguzo ya lazima. Tasbiyh ni lazima.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23774/ما-الحد-الادنى-للطمانينة-في-الصلاة
- Imechapishwa: 25/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket