Kikomo cha chini kabisa cha utulivu katika Rukuu´ na Sujuud

Swali: Kikomo cha chini kabisa cha kufanya utulivu katika Rukuu´ na Sujuud ni kile kiwango cha kuleta Tasbiyh moja?

Jibu: Akifanya utulivu na akaleta Tasbiyh moja inatosheleza. Sunnah ni kuleta Tasbiyh zisizopungua tatu. Wajibu ni kuleta Tasbiyh moja. Utulivu ni nguzo ya lazima.  Tasbiyh ni lazima.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23774/ما-الحد-الادنى-للطمانينة-في-الصلاة
  • Imechapishwa: 25/04/2024