Kikao cha mapumziko ni kwa mkubwa na mdogo

Swali: Kuna wanaosema kuwa kikao cha mapumziko (جلسة الاستراحة) ni jambo maalum kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokuwa mtumzima?

Jibu: Hapana, ni katika namna ya swalah. Maoni ya sawa ni kwamba ni katika sifa ya swalah.

Swali: Kwa hivyo ni kwa mdogo na mkubwa?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23707/%D9%87%D9%84-%D8%AC%D9%84%D8%B3%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%B3%D8%AA%D8%B1%D8%A7%D8%AD%D8%A9-%D8%AE%D8%A7%D8%B5%D8%A9-%D8%A8%D8%A7%D9%84%D8%B1%D8%B3%D9%88%D9%84-%EF%B7%BA-%D9%84%D9%85%D8%A7-%D9%83%D8%A8%D8%B1
  • Imechapishwa: 07/04/2024