Swali: Ni kipi kigezo cha ufuska?

Jibu: Ufuska ni kudhihirisha na kuyaendeleza maasi yaliyoko kati yake yeye na Allaah. Ufuska ni kwa yale yaliyoko kati yako wewe na Allaah. Kule kuyadhihirisha ndio ufuska. Kunasemwa kuwa mtu amefanya ufuska kwa maana ya kwamba ametoka katika utiifu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23434/ما-معنى-الفسق-وما-ضابطه
  • Imechapishwa: 20/01/2024