Mwambie pia na yeye ni nguruwe na mnyama

Swali: Ambaye anamwita mwenzake kuwa ni nguruwe na mnyama?

Jibu: Aambiwe kuwa na yeye ni nguruwe na mnyama. Hayo tu basi yanatosha na asizidishe. Asisemehe na kupuuzia.

Swali: Ni ipi hukumu yake?

Jibu: Hukumu yake ni maovu. Haijuzu. Lakini inafaa kwake akalipiza kisasi na kusema kama alivosema.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23433/حكم-اطلاق-كلمة-خنزير-وحيوان-على-معين
  • Imechapishwa: 20/01/2024