Kichinjwa cha mtoto ambaye hajabaleghe

Swali: Kichinjwa cha mtoto ambaye hajabaleghe ni halali?

Jibu: Ndio. Ikiwa ni mtoto mwenye uwezo wa kupambanua, ni halali kichinjwa chake. Kwa sababu atahudhurisha na yuko na nia na makusudio.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 09/12/2023