Khutbah kimoyo au kwa kuangalia ndani ya karatasi?

Swali: Bora ni kutoa Khutbah kwa kutazamia kwenye karatasi au kupitia… kwa ajili ya kumwigiliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Kutegemea na wepesi wa mtu. Bora ni kimoyo kwa yule ambaye anaweza. Ambaye hana uwezo huo aandike na haina neno. Bora na vyema zaidi ni kutoa kimoyo kwa ajili ya kuikusanya mioyo ya watu. Asipoweza aandike na aisome kutoka ndani ya karatasi yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22721/هل-الخطبة-عن-ظهر-قلب-افضل-من-قراءتها
  • Imechapishwa: 04/08/2023