Swali: Kukiwepo mtu anayesema kuwa ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kwamba anafuata mfumo wa Salaf lakini anaenda kinyume nao katika moja katika misingi yao ambapo anafanya uasi kwa watawala au analingania kufanya uasi dhidi yao…

Jibu: Huyu sio katika Ahl-us-Sunnah. Huyu ni katika Khawaarij na sio katika Ahl-us-Sunnah. Yule ambaye anachochea katika fitina na katika kuleta mpasuko ni Khaarijiy na ni katika Khawaarij. Haya ni madhehebu ya Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 11/02/2022