Khatwiyb kusema “Aqiym-is-Swalaat” baada ya Khutbah

Swali: Ni ipi hukumu ya Khatwiyb asemapo:

“Aqiym-is-Swalaat”?

Jibu: Hakuna haja ya kusema hivi. Pale anapomaliza Khutbah na kushuka juu ya minbari maana yake ni kwamba wakati wa kukimiwa Swalah umefika. Kwa nini aseme “Aqiym-is-Swalaat”?

Jambo lingine ni kwamba hili halikuthibiti. Hili halikuthibiti kutokana na ninavyojua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015