Swali: Khatwiyb siku ya ijumaa akimtaja Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) msikilizaji amswalie baina yake yeye na nafsi yake?

Jibu: Baina yake yeye na nafsi yake. Anapowataka kumswalia, amswalie Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hata asipowataka kumswalia amswalie pale Khatwiyb anaposhuhudia ya kwamba Muhammad ni Mtume wa Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23004/كيف-تكون-الصلاة-والتسليم-اثناء-الجمعة
  • Imechapishwa: 07/10/2023