Katika hali hii inafaa kuswali kanisani

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali kanisani?

Jibu: Hakuna neno ikiwa hakuna picha.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 146
  • Imechapishwa: 08/08/2020