Swali: Mume akihitajia pesa. Je, inafaa kwake kuuza dhahabu za mke wake bila ya yeye kujua?

Jibu: Hapana, haijuzu kwake kufanya hivo. Hii ni haki yake. Asimdhulumu na akavamia haki yake isipokuwa kwa idhini na ridhaa yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
  • Imechapishwa: 08/08/2020