Swali: Baadhi ya makampuni yanasema kuwa wanatoa zakaah za wanahisa wao. Je, zinatakasika dhimmah zako kwa jambo hilo?
Jibu: Ikiwa anawaamini, haina neno. Asipowaamini, atoe zakaah yeye mwenyewe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 25/05/2023