Swali: Tunatakiwa tuchukue msimamo gani kwa baadhi ya walinganizi ambao wanawasifia baadhi ya Mashaykh wa Suufiyyah na wanaita kuwa na umoja kati ya Ahl-us-Sunnah na madhehebu mengine?
Jibu: Ni lazima kwetu – kama ni wajinga – kuwabainishia kuwa hili ni kosa. Kama ni wanazuoni basi ni lazima kwetu kuwasihi kumcha Allaah na wasiwapotoshe watu na wasiwadanganye watu katika masuala haya. Ni lazima kwao kuwabainishia watu na wala wasifike yale yaliyoteremshwa na Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 39
- Imechapishwa: 14/05/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)