Swali: Kafara inakuwa kwa yule aliyegusa tupu ya mwanamke mwenye hedhi au kafara inakuwa kwa yule aliyemjamii tu?
Jibu: Kafara ni kwa yule aliyemjamii tu. Ama mwenye kugusa tupu yake hana juu yake kafara. Kwa kuwa hii sio jimaa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13342
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Kafara inakuwa kwa yule aliyegusa tupu ya mwanamke mwenye hedhi au kafara inakuwa kwa yule aliyemjamii tu?
Jibu: Kafara ni kwa yule aliyemjamii tu. Ama mwenye kugusa tupu yake hana juu yake kafara. Kwa kuwa hii sio jimaa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13342
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/kafara-kwa-ajili-ya-kugusagusa-tupu-ya-mwanamke/