Jinsi ya kuunga kizazi na mabinamu

Swali: Vipi nitaunga kizazi kwa wasichana wa ami na shangazi zangu ikiwa sio Mahaarim zangu?

Jibu: Utaunga kizazi kwa kuwatendea wema, kuwasalimia, kuuliza juu ya hali zao na kuwasaidia wakihitajia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2136
  • Imechapishwa: 12/07/2020