Swali: Vipi nitangamane na mtu anayemtukana Allaah tukiwa tuko katika mji wa kiarabu usiohukumu kwa Shari´ah?

Jibu: Mkataze, mbainishie na muamrishe kufanya Tawbah. Hili ndio unaloweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-18-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/04/2015