Pepo na Moto wa ad-Dajjaal ni vya kweli?

Swali: Je, moto na pepo atavyokuja navyo ad-Dajjaal ni vya ukweli? Ni wapi atapoanguka yule atayetupwa kwenye moto wake au pepo yake?

Jibu: Hapana, sio vya kweli. Ni kiini macho. Ndio maana akaitwa ´ad-Dajjaal`. Ni nini maana ya ´ad-Dajjaal`? Mwongo. Mambo yote haya atayokuja nayo ni kiini macho tu na uongo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-19-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/04/2015