Jinsi ya kutaalimiana na watu wanaowaponda wanachuoni

Swali: Vipi tutawajibu wajinga na walioritadi ambao wanaomba dhidi ya mwanachuoni au Shaykh au walinganizi?

Jibu: Awanasihi. Awanasihi kwa kuwa huku ni kusengenya. Awanasihi kutosengenya na kuvunja heshima za watu.

Check Also

Walinganizi sampuli hii ndio hutokea fitina kati yao

Swali: Tufanye nini wakati ambapo kunatokea fitina kati ya wanachuoni wa Ah-us-Sunnah wal-Jamaa´ah? Jibu: Hakutotokea fitina …