Swali: Vipi tutawajibu wajinga na walioritadi ambao wanaomba dhidi ya mwanachuoni au Shaykh au walinganizi?
Jibu: Awanasihi. Awanasihi kwa kuwa huku ni kusengenya. Awanasihi kutosengenya na kuvunja heshima za watu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5436
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Vipi tutawajibu wajinga na walioritadi ambao wanaomba dhidi ya mwanachuoni au Shaykh au walinganizi?
Jibu: Awanasihi. Awanasihi kwa kuwa huku ni kusengenya. Awanasihi kutosengenya na kuvunja heshima za watu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5436
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/jinsi-ya-kutaalimiana-na-watu-wanaowaponda-wanachuoni/