Jini linaweza kumuibia mwanadamu pesa zake?

Swali: Je, jini linaweza kumuibia mwanaadamu pesa zake?

Jibu: Ndio, inawezekana. Jini na mashaytwaan wanaweza kuiba pesa na kuwapelekea watu wao na mabwana zao wa kibinadamu. Kwa ajili hii ndio maana wanawapa wale wanaoshirikiana nao mali baada ya kunyenyekea kwao – tunaomba Allaah atukinge.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13407
  • Imechapishwa: 24/06/2020