Swali: Tukiwa katika kitongoji ambapo hakuna imamu Sunniy isipokuwa tu Khawaarij na Jahmiyyah. Je, tuswali nyuma yao?

Jibu: Tengenezeni msikiti au mahala pa kuswalia na mswali. Jitengeneni nao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13407
  • Imechapishwa: 24/06/2020