Swali: Ni ipi hukumu ya kuoa wanawake wa Ahl-ul-Bid´ah na wale wenye kuamini kuwa Qur-aan imeumbwa?

Jibu: Ndugu! Wanawake ni wengi na himdi zote ni za Allaah. Oa wanawake wengine. Jiepushe naye na Allaah atakusahilishia kukupa aliye mbora kuliko huyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13407
  • Imechapishwa: 24/06/2020