Swali: Jibini zenye kutoka nje zimekuwa nyingi kwa majina mbalimbali na wako wanaosema kuwa ni haramu kwa sababu kuna asilimia ya mafuta ya nguruwe ndani yake. Ni yepi maoni yako?

Jibu: Tumemwandikia waziri wa biashara na akasema kuwa zimesalimika na kwamba hazina kitu. Msingi ni kusalimika isipokuwa baada ya kuthibiti kitu kwa yakini. Waziri wa biashara amesema kuwa bidhaa hizi zinazoingia ni zenye kuangaliwa vyema na hazina kitu katika yanayohusiana na nguruwe.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3804/حكم-الاجبان-المعلبة-المستوردة
  • Imechapishwa: 02/06/2022