Swali: Je, masuala ya kuwepo chakula tayari au kuzuia haja kubwa na ndogo yanaweza kufananishwa na mambo mengine yanayomshughulisha mtu?
Jibu: Kulinganisha ni jambo gumu, lakini muumini anaelewa zaidi hali yake mwenyewe. Ikiwa kuna kitu kingine kinachomshughulisha zaidi kuliko chakula au haja kubwa na ndogo, basi anaweza kuchukuliwa kuwa na udhuru katika hali hiyo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24906/هل-يعذر-من-شغله-امر-في-ترك-الجماعة
- Imechapishwa: 28/12/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Kuanza kwa chakula inahusiana na chakula cha jioni peke yake?
Swali: Kuanza kwa chakula inahusiana na chakula cha jioni peke yake? Jibu: ”Kunapotengwa... ” Ni jambo lenye kuenea chakula cha jioni na chengine. Kwa ajili hiyo Hadiyth ya ´Aaishah inasema: ”Hakuna swalah kunapotengwa chakula wala wakati anajaribu kuzuia haja kubwa na ndogo.” Kunaingia pia chakula cha mchana wakati kunapotengwa chakula…
In "Hukumu ya swalah ya mkusanyiko"
Swalah wakati ambapo kumeshatengwa chakula au mtu anataka kwenda kujisaidia chooni
Swali: Ni ipi hukumu ya swalah ya mtu ambaye anajizuia haja kubwa au ndogo au wakati ambapo kumeshatengwa chakula? Jibu: Imechukizwa. Hukumu yake ni kwamba imechukizwa. Inasihi lakini pamoja na machukizo.
In "Mambo yanayochukiza katika swalah"
20. Baadhi ya hukumu kuhusu I´tikaaf
20 – Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia: “Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akikaa I´tikaaf katika yale masiku kumi ya mwisho ya Ramadhaan.”[1] Kuna maafikiano juu yake. Hadiyth inafahamisha juu ya fadhilah za I´tikaaf na kulazimiana na misikiti na khaswa zile siku kumi za mwisho za…
In "Mukhtaswar Ahaadiyth-is-Swiyaam - al-Fawzaan"