Lau tutaona watu wanapigana na wanasema wanaupigania Uislamu na kuutetea na baada ya hapo mmoja wao akafa. Je, tuseme kuwa ni shahidi? Hapana. Hatumshuhudilii kuwa ni shahidi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/28)
  • Imechapishwa: 14/10/2023