Swali: Je, ni Sunnah kumbeba maiti kwa kutanguliza kichwa chake mbele?
Jibu: Sitambui juu ya hilo Sunnah yoyote kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini maneno ya wanazuoni wanapozungumzia namna ya kumbeba maiti yanapelekea kichwa chake ndio kiwe kwa mbele.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/165-166)
- Imechapishwa: 23/05/2022
Swali: Je, ni Sunnah kumbeba maiti kwa kutanguliza kichwa chake mbele?
Jibu: Sitambui juu ya hilo Sunnah yoyote kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini maneno ya wanazuoni wanapozungumzia namna ya kumbeba maiti yanapelekea kichwa chake ndio kiwe kwa mbele.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/165-166)
Imechapishwa: 23/05/2022
https://firqatunnajia.com/je-ni-sunnah-kumbeba-maiti-kwa-kutanguliza-kichwa-chake-mbele/