Swali: Je unaninasihi kutoka na Jamaa´at-ut-Tabliygh khaswa tunavyosikia kuwa umesifia kikundi hiki siku zilizopita?
Jibu: Mwenye kusema kuwa mimi nimewasifia ni muongo. Mimi sikuwasifia. Mimi sisifii isipokuwa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ambao wanalingania katika Tawhiyd, katika ´Aqiydah sahihi, wanawafunza watu elimu yenye manufaa. Watu hawa ndo ambao tunawanasihi Waislamu kuwa pamoja nao. Ama watu wa Bid´ah na watu wasiofahamu Tawhiyd na wala hawaiwekei uzito na wanafanya Bid´ah, watu hawa tunatahadharisha watu dhidi yao vikali.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=128423
- Imechapishwa: 03/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket