Je, mwili mzima wa maiti unapuliziwa manukato?

Swali: Je, mwili mzima wa maiti unatakiwa kutiwa manukato?

Jibu: Ndio. Kitendo hicho kimepokelewa kutoka kwa baadhi ya Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum).

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/96-97)
  • Imechapishwa: 15/05/2026