Swali: Mtu akifanya machafu kisha akatubia kwa Allaah. Je, siku ya Qiyaamah ataadhibiwa na kufedheheshwa mbele ya watu?
Jibu: Akitubia tawbah ya kweli na akatengeneza alipokosea, Allaah anamsamehe. Ikiwa dhambi inayohusiana na kuchukua pesa ya watu, basi awarudishie. Miongoni mwa ukamilifu wa tawbah ni yeye kuwarudishia wenye navyo alivyowadhulumu. Asipowapata wenye navyo basi avitoe swadaqah kwa wahitaji.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
- Imechapishwa: 11/08/2024
Swali: Mtu akifanya machafu kisha akatubia kwa Allaah. Je, siku ya Qiyaamah ataadhibiwa na kufedheheshwa mbele ya watu?
Jibu: Akitubia tawbah ya kweli na akatengeneza alipokosea, Allaah anamsamehe. Ikiwa dhambi inayohusiana na kuchukua pesa ya watu, basi awarudishie. Miongoni mwa ukamilifu wa tawbah ni yeye kuwarudishia wenye navyo alivyowadhulumu. Asipowapata wenye navyo basi avitoe swadaqah kwa wahitaji.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
Imechapishwa: 11/08/2024
https://firqatunnajia.com/je-mtu-ataadhibiwa-siku-ya-qiyaamah-baada-ya-kutubia-dhambi-yake/