Kutubia juu ya pesa aliyomuibia mtu

Swali: Kuna mtu ameiba pesa kisha akatubia. Lakini hamjui mwenye nazo ili aweze kumrudishia nazo. Je, tawbah yake ni sahihi na aifanye nini pesa hii aliyoiba?

Jibu: Aitoe kuwapa wahitaji na mafukara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 11/08/2024