Swali: Baba yangu hana mtoto mwingine zaidi yangu. Daima ananitaka nimletee sigara nyumbani kutoka chumba kingine. Ni ipi hukumu ya kitendo changu hichi?

Jibu: Usimtii. Usimtii katika maasi ya Allaah. Mnasihi na umwambie kuwa haijuzu kwake kufanya hivo, kwamba ni haramu na kwamba inamsababishia madhara. Mwombe aache. Kuhusu wewe usimletee. Usimsaidie kumuasi Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 11/08/2024