Swali: Je, msichana bikira ambaye amezini anatolewa nje ya mji kama mwanaume?

Jibu: Anatolewa nje ya mji pamoja na Mahram wake ambaye atalazimika kumhudumia na kumpa matumizi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 11/08/2024