Je, inafaa kwa mwenye janaba kukaa msikitini akitawadha?

Swali: Je, inafaa kwa mwenye janaba kukaa msikitini akitawadha?

Jibu: Hapana, haitoshi. Wako baadhi ya Maswahabah wenye kuona hivo lakini haitoshi. Hadiyth ambazo ni Swahiyh zinafahamisha juu ya kwamba ni lazima kutawadha. Hata hivyo ni haina neno ikiwa ni kupita njia peke yake. Mpita njia haina neno. Kuhusu kukaa haifai.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22592/هل-يجوز-للجنب-المكث-في-المسجد-اذا-توضا
  • Imechapishwa: 07/07/2023