Je, babu anayo haki ya kumuozesha mjumuu wake chini ya miaka tisa?

Swali: Hadiyth ya kuoa kabla ya miaka tisa ni dalili ya wazi?

Jibu: Kisa cha ´Aaishah. Ndivo ´Aaishah alivyoolewa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hilo ndio msingi wa jambo hilo.

Swali: Baba akifa na babu akaona kuna manufaa ya kumuozesha akiwa chini ya miaka tisa?

Jibu: Hapana. Asimuozeshe isipokuwa kwa idhini yake baada ya kufikisha miaka isiyopungua tisa. Hilo ni jambo maalum kwa baba kwa ajili ya kukomeka na dalili. Msingi ni kuenea. Msichana bikira anatakwa idhini na baba yake. Huo ndio msingi. Kunabaguliwa katika hayo kisa cha ´Aaishah peke yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23841/حكم-تزويج-الفتاة-قبل-بلوغها-التسع
  • Imechapishwa: 17/05/2024