Swali: Je, al-Musa´ir ni jina la Allaah (Subhaanah)?
Jibu: Hapana. Ni maelezo juu Yake na kwamba Yeye ndiye ambaye Anayanyanyua mambo na Kuyashusha. Ama kusema ni katika Majina ya Allaah, sivyo kwa sababu halina sifa ndani yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331123.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket