Swali: Je, al-Musa´ir ni jina la Allaah (Subhaanah)?

Jibu: Hapana. Ni maelezo juu Yake na kwamba Yeye ndiye ambaye Anayanyanyua mambo na Kuyashusha. Ama kusema ni katika Majina ya Allaah, sivyo kwa sababu halina sifa ndani yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331123.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015