Kile alichokionya Shaykh Swalih kuhusu baadhi ya watu, ingawa sijakisikia kwa waislamu lakini kinapatikana nje, kwamba mwanaume anasafiri na mwanamke kabla ya ndoa ili mwanaume amtazame na yeye mwanamke amtazame. Hili ni balaa kubwa na maovu makubwa. Kinachotakiwa ni kutazamana. Ama kuwa faragha au kusafiri pamoja kabla ya ndoa, basi hilo ni maovu makubwa. Tunamuomba Allaah atujaalie salama.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1286/ما-صحة-القول-بان-الزواج-شطر-الدين
- Imechapishwa: 19/06/2026
Kile alichokionya Shaykh Swalih kuhusu baadhi ya watu, ingawa sijakisikia kwa waislamu lakini kinapatikana nje, kwamba mwanaume anasafiri na mwanamke kabla ya ndoa ili mwanaume amtazame na yeye mwanamke amtazame. Hili ni balaa kubwa na maovu makubwa. Kinachotakiwa ni kutazamana. Ama kuwa faragha au kusafiri pamoja kabla ya ndoa, basi hilo ni maovu makubwa. Tunamuomba Allaah atujaalie salama.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1286/ما-صحة-القول-بان-الزواج-شطر-الدين
Imechapishwa: 19/06/2026
https://firqatunnajia.com/janga-kubwa-kwa-wachumba/