Swali: Vipi kuhusu kuwatahiri wanawake?
Jibu: Ikiwepesika. Akipatikana mwanamke au mwanamke anayejua kutahiri ni sawa na Sunnah.
Swali: Vipi ikiachwa kwa nisba ya mwanamke?
Jibu: Ikiachwa hapana neno. Isipowepesika ambaye anajua kutahiri haina neno.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22656/حكم-الختان-للنساء
- Imechapishwa: 14/07/2023