Uhakika wa mambo ni kwamba Jamaa´at-ut-Tabliygh ni wazushi wapindaji walioshikana na amri za Qaadiriyyah na mifumo mingine. Kutoka kwao sio katika njia ya Allaah, bali ni katika njia ya Ilyaas. Hawalingii katika Qur-aan na Sunnah. Wanalingania kwa Shaykh wao Ilyaas.
Ama kutoka kwa kunuia kulingania kwa Allaah ni katika jihaad katika njia ya Allaah. Na si utokaji huu wa Jamaa´at-ut-Tabliygh. Nawajua Jamaa´at-ut-Tabliygh tangu zama za kale. Ni wazushi popote wanapokuwa; Misri, Israel, Amerika au Saudi Arabia. Wote wamefungamana na Shaykh wao Ilyaas.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdur-Razzaaq bin ´Afiyfiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ash-Shaykh ´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy (1/174)
- Imechapishwa: 27/05/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)