Eda inahesabiwa vipi?

Swali: Ni maoni yepi yenye nguvu juu ya ule muda wa kusubiri (القروء); inahusiana na ule muda wa hedhi au muda wa kutwahirika?

Jibu: Maoni ya kikosi cha wanazuoni wengi wanaona kuwa ni muda wa hedhi. Maalikiyyah wanaona kuwa ni ule muda wa kutwahirika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 27/05/2023