Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kuvaa jaketi juu ya Jilbaab yake ikipelekea hiyo kuonyesha viungo vya mwili wake?

Jibu: Haijuzu ikiwa viungo vya mwili wake vinaonekana. Jaketi inatakiwa kuwa chini ya Jilbaab yake. Hakuna ambacho kinaonyesha viungo vya mwili wa mwanamke kinajuzu. Jilbaab na ´Abaa´ah ndivyo vinavyotakiwa kuwa juu. Ni wajibu kwa mwanamke kujisitiri. Kila ambacho kinaonyesha viungo vyake inatakiwa kukiepuka.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=X5FiL0LAORo
  • Imechapishwa: 12/02/2017