Swali: Baada ya ´Iysaa (´alayhis-Salaam) kushuka atahesabiwa kuwa ni katika Ummah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Ndio. Ndio. Atahesabiwa ni katika Ummah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Atakuwa ni mwenye kumfuata Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Atahukumu kwa Shari´ah ya Uislamu. Atahesabiwa ni katika Mujaddidiyn. ´Iysaa (´alayhis-Salaam) atahesabiwa ni katika watu waliokuja kuifanya upya Dini ya Uislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/hadis-fitan-18-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015