Swali: Imethibiti katika Hadiyth Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema kuwa kila muumini atasoma kwenye paji la uso la ad-Dajjaal ´kafiri`. Je, katika haya kuna dalili inayoonesha kuwa mtu ambaye si msomi Atathibitishwa na Allaah ikiwa ni muumini?
Jibu: Ndio. Ambaye si msomi Atathibitishwa:
|
يُثَبِّتُ اللَّـهُ الَّذِينَ آمَنُوا |
| “Allaah Huwathibitisha wale walioamini kwa kauli thabiti.” (14:27) |
Hili ni kwa watu wote, sawa mtu akiwa ni msomi au si msomi. Linamuhusu kila muumini.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/hadist%20fitan-17-08-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 21/04/2015
Swali: Imethibiti katika Hadiyth Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema kuwa kila muumini atasoma kwenye paji la uso la ad-Dajjaal ´kafiri`. Je, katika haya kuna dalili inayoonesha kuwa mtu ambaye si msomi Atathibitishwa na Allaah ikiwa ni muumini?
Jibu: Ndio. Ambaye si msomi Atathibitishwa:
يُثَبِّتُ اللَّـهُ الَّذِينَ آمَنُوا
“Allaah Huwathibitisha wale walioamini kwa kauli thabiti.” (14:27)
Hili ni kwa watu wote, sawa mtu akiwa ni msomi au si msomi. Linamuhusu kila muumini.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/hadist%20fitan-17-08-1435-01.mp3
Imechapishwa: 21/04/2015
https://firqatunnajia.com/allaah-atampa-thabati-kila-ambaye-ni-muumini/