Swali: Je, inafaa kuswali Istikhaarah baada ya ´Aswr?

Jibu: Hapana, wakati wake ni mpana. Asiswali nyakati ambazo zimekatazwa. Wakati wa Istikhraah ni mpana.

Swali: Ikiwa ni kutokana na sababu iliyozuka?

Jibu: Akilazimika kufanya hivo. Ikiwa ni kwa tukio lililozuka na hawezi kuichelewesha, basi inaingia katika zile swalah zinazoswaliwa kutokana na sababu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22794/هل-تجوز-صلاة-الاستخارة-بعد-العصر
  • Imechapishwa: 25/08/2023