Israaaiyl inatakiwa kuitwa “nchi ya Shaytwaan”

Swali: Je, inajuzu nchi ya kiyahudi kuiita “nchi ya Israaiyl?”

Jibu: Hapana, wao ndio wameiita hivo. Tunatakiwa kusema nchi ya kiyahudi. Hatusemi kuwa ni Israaiyl. Kwa sababu Israaiyl ni Nabii wa Allaah Ya´quub (´alayhis-Salaam). Hii sio nchi ya Ya´quub. Ni nchi ya shaytwaan. Sio nchi ya Ya´quub (´alayhis-Salaam). Allaah amemtukuza Ya´quub na nchi hii chafu na iliolaaniwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (35) http://alfawzan.af.org.sa/node/2132
  • Imechapishwa: 13/07/2020