Swali: Mtu akikusanya Dhuhr na ´Aswr, je, atakimu kwa kila moja katika hizo? Je, swalah za sunnah zinakimiwa?
Jibu: Kila moja katika hizo inakimiwa. Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuhusu kukidhi swalah kwa Mtume Muzdalifah:
“Akakimu na kuswali Maghrib, kisha akakimu na kuswali ´Ishaa, na wala hakuswali kitu baina yake.”[1]
Kuhusu swalah hazina kukimu.
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/161)
- Imechapishwa: 15/05/2026
Swali: Mtu akikusanya Dhuhr na ´Aswr, je, atakimu kwa kila moja katika hizo? Je, swalah za sunnah zinakimiwa?
Jibu: Kila moja katika hizo inakimiwa. Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuhusu kukidhi swalah kwa Mtume Muzdalifah:
“Akakimu na kuswali Maghrib, kisha akakimu na kuswali ´Ishaa, na wala hakuswali kitu baina yake.”[1]
Kuhusu swalah hazina kukimu.
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/161)
Imechapishwa: 15/05/2026
https://firqatunnajia.com/iqaamah-juu-ya-swalah-zinazokidhiwa/