Swali: Je, inajuzu kwa Muislamu kufadhilisha al-Madiynah juu ya Makkah?
Jibu: Hili lina tofauti kwa wanachuoni. Kuko ambao wanafadhilisha al-Madiynah. Wengine wanafadhilisha Makkah na hii ndio kauli sahihi. Sahihi ni kwamba Makkah ni bora kuliko al-Madiynah. Hii ndio kauli yenye nguvu na sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, inajuzu kwa Muislamu kufadhilisha al-Madiynah juu ya Makkah?
Jibu: Hili lina tofauti kwa wanachuoni. Kuko ambao wanafadhilisha al-Madiynah. Wengine wanafadhilisha Makkah na hii ndio kauli sahihi. Sahihi ni kwamba Makkah ni bora kuliko al-Madiynah. Hii ndio kauli yenye nguvu na sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/ipi-bora-kati-ya-makkah-na-al-madiynah/