Swali: Je, inajuzu kurekodi mawaidha na durusi zinazotolewa moja kwa moja [live] na kuzihifadhi kisha mtu akazipitia wakati mwingine au jambo hili linaingia katika picha zilizoharamishwa?
Jibu: Kurekodi sio picha. Rekodi sauti katika kanda na baada ya hapo uieneze kwa watu. Hili ni jambo zuri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)