Swali: Ni ipi hukumu ya kutoa adhaana na kukimu na huku mtu amekaa?
Jibu: Imechukizwa ikiwa ni pasi na haja. Ama ikiwa anahitajia hilo, inajuzu. Inajuzu kuadhini na kukimu na yeye amekaa ikiwa kusimama kunamtia uzito.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (81) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_14_03_1433.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kutoa adhaana na kukimu na huku mtu amekaa?
Jibu: Imechukizwa ikiwa ni pasi na haja. Ama ikiwa anahitajia hilo, inajuzu. Inajuzu kuadhini na kukimu na yeye amekaa ikiwa kusimama kunamtia uzito.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (81) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_14_03_1433.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kuadhini-na-kukimu-kwa-kukaa/